BODAK YELLOW YAMPA BONGE LA DILI CARD B - BZONE

BODAK YELLOW YAMPA BONGE LA DILI CARD B

Share This
Rapper wa kike na mpenzi wa Offset, Cardi B kupata mashavu kupitia ngoma yake ya ‘Bodak Yellow’. Ngoma ya mwanadada huyo ilivunja rekodi mwaka jana baada ya kukaa kileleni kwa wiki kadhaa katika chati za muziki ikiwemo ya Billboard Hot 100, kwa sasa ngoma hiyo imempa dili mrembo huyo kwani inatarajiwa kusikika katika filamu ya Money Moves.
Kwa muji buwa mtandao wa TMZ, umeripoti kuwa rapper huyo amelipwa zaidi ya dola laki moja na nusu ili ngoma yake hiyo iweze kusikika katika filamu hiyo inayotarajiwa kuanza kutengenezwa mapema mwezi Machi mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Pages