JAY Z AKATAA KUFANYA SHOW KWENYE TUZO ZA GRAMMY - BZONE

JAY Z AKATAA KUFANYA SHOW KWENYE TUZO ZA GRAMMY

Share This
Jay-Z  hajaonekana akifanya show katika jukwaa la tozu za Grammy toka mwaka 2014 alipofanya show na Beyonce nakuimba Drunk In love. Hits Daily Double wanasema JAY-Z hatafanya show katika tuzo za mwaka huu za Grammy ila kuna tetesi za staa huyu kuhudhuria show hio ambapo anawania tuzo nane zikiweo tuzo ya Song Of The Year, Best Rap Performance, Best Rap/Sung Performance, Best Rap Song, Best Rap Album, Best Music Video, Album of the Year na Record of the Year.
Jay Z amekuwa wazi kuhusu tuzo za Grammy zinavyowaonea wasanii wa HipHop weusi kwa muda mrefu sasa na inasemekana labda hio ndio sababu ya staa huyu wa HipHop kubiga chini dili za kufanya show kwenye tuzo hizo.

No comments:

Post a Comment

Pages