Nandy X Aslay - Subalkheri Mpenzi (Official Video) - BZONE

Nandy X Aslay - Subalkheri Mpenzi (Official Video)

Share This
Baada ya Nandy na Aslay kufanya vizuri na kolabo yao ya wimbo’Mahabuba’, hatimaye wawili hao Jumanne hii wameachia video ya kolabo yao mpya ya wimbo, Subalkheri Mpenzi. Video ya wimbo huo imeandaliwa na director, Hanscana.

No comments:

Post a Comment

Pages