

Kupitia IG Yake Rayvanny ameuliza mashabiki wake wachague colabo na msanii wa nchi gani itoke sasa, Ray aliandika >Another one
X
X
X
X
X
X
X
X
Choose one country!!!! Ipi ianze 

@kifesi”.
Ray aliandika “Another one na kuweka bendera za nchini kama Tanzania, Marekani, Nigeria, Africa Kusini, Rwanda, Kenya, Angola, Sweden, Mozambique, chagua nchi moja, ipi ianze”
No comments:
Post a Comment