PHILIPE COUNTINHO AMEKUWA MCHEZAJI WA 33 WA KIBRAZILI AMBAE AMEJIUNGA NA BARCELONA KUTOKEA RONALDO MPAKA RONALDINHO KUPITIA FABIO,ROCHEMBACK, AMBAYE YUPO KWENYE ORODHA! - BZONE

PHILIPE COUNTINHO AMEKUWA MCHEZAJI WA 33 WA KIBRAZILI AMBAE AMEJIUNGA NA BARCELONA KUTOKEA RONALDO MPAKA RONALDINHO KUPITIA FABIO,ROCHEMBACK, AMBAYE YUPO KWENYE ORODHA!

Share This
Philippe Coutinho has become the 33rd Brazilian player to join Barcelona in their historyPhilipe countinho ametoka Liverpool kuelekea Barcelona umekuwa uhamisho ambao umewavutia watu wengi vitu kama fedha, mafanikio lakini cha msingi ni historia, heshima ya kuchezea moja kati ya klabu kubwa duniani.
Coutinho continues a trend started by Fausto Dos Santos and Jaguare way back in 1931
Countinho amejiunga na klabu ambayo kati ya wachezaji wakubwa wa mpira wamevaaa uzi wenye rangi nyekundu na bluu wengi wao ni kama yeye, wabrazili.

Hapa inaonekana orodha imekamilika ya wachezaji 32 ya wachezaji wa kibrazili ambao walikuwa Barca kabla ya Countinho majina mengine yatakuwa magumu kuyatambua na mengine hawakuwa kucheza mchezo wowote...

Fausto Dos Santos (1931-32)

Jaguare (1931-32)

Lucidio Batista (1947-49)

Evaristo De Macedo (1957-62)

Walter Machado (1966-67)

Marinho Peres (1974-76)

Bio (1977-79)

Roberto Dinamite (1980)

Cleo (1982)

Aloisio Pires (1988-90)

Giovanni (1996-99)

Ronaldo (1996-97)

Sonny Anderson (1997-99)Some of the greatest ever Brazilian footballers have played for Barca, including Romario

Rivaldo (1997-2002)

Thiago Motta (2001-07)

Fabio Rochemback (2001-03)

Geovanni (2002-03)A Brazilian, Juliano Belletti, scored Barca's winner in the 2006 Champions League final

Ronaldinho (2003-08)

Sylvinho (2004-09)

Edmilson (2004-08)

Henrique (2008-12)

Keirrison (2009)

Dani Alves (2008-16)

Maxwell (2009-12)

Adriano Correia (2010-16)

Neymar (2013-17)Neymar was the last Brazilian superstar at Barcelona - can Coutinho be the next hero?

Rafinha (2013-Yupo) 

Douglas (2014-Yupo)

Paulinho (2017-Yupo)

No comments:

Post a Comment

Pages