HAWA NDIO WACHEZAJI 10 BORA AMBAO WANALIPWA PESA KUBWA CRISTIANO RONALDO HAYUPO ATA KWENYE TANO BORA!!? - BZONE

HAWA NDIO WACHEZAJI 10 BORA AMBAO WANALIPWA PESA KUBWA CRISTIANO RONALDO HAYUPO ATA KWENYE TANO BORA!!?

Share This
Inaonekana kama hakuna huamisho wowote unaonekana kuendelea kwa Cristiano Ronaldo kutoka Real Madrid.

Na hii haina tofauti yoyote, ripoti kutokea Hispania mapema ya wiki hii inasema kuwa Mreno huyo anataka kulipwa sawa na Lionell Messi.

Lakini kutokana na gazeti la Marca, Ronaldo anataka pesa kubwa ilikuendelea kuwa mbiona na kushindana na mpinzani wake pale hatakapo ondoka hispania.

Ronaldo ametokea kuwa mchezaji wa sita ambae analipwa pesa kubwa duniani mbali na kushinda Ballon d'or kwenye kila misimu miwili iliopita.

Lakini nani kamdondosha? Hapa nimekuwekea orodha kamili ya wachezaji wanaolipwa mkwanja mrefu....

10. Graziano Pelle (Shandong Luneng) £15mShandong Luneng Taishan FC have signed Italian ST Graziano Pellè from Southampton FCPelle anachezea China akiwa na shandong luneng.


9. Paul Pogba (Manchester United) £15.4mPogba alishawahi kuwa mchezaji ghali duniani pale aliposajiliwa na united.

8. Kylian Mbappe (Paris Saint-Germain) £15.9mMbappe anaingiza hadhina mbali na kuwepo kwake kwa mkopo.

 7. Hulk (Shanghai SIPG) £17.6mHulk anaingiza kupitia huwepo wake tangia atue China

6. Cristiano Ronaldo (Real Madrid) £18.5mRonaldo amekuja nafasi ya sita kwenye orodha mbali na kushinda tuzo ya mchezaji bora.

5. Ezequiel Lavezzi (Hebei Fortune) £20.3mLavezzi alibadilishwa kutokea Paris mpaka China

4. Oscar (Shanghai SIPG) £21.1matukutarajia kama atakua hivi muache afurahie...

3. Neymar (Paris Saint-Germain) £31.7mNeymar alifanikiwa kuwadhibu dijon mara nne..


2. Carlos Tevez (Shanghai Shenhua) £33.5m*mbali nakupokea mpunga mrefu anataka kurudi kwenye klabu yake ya mwanzo Boca Juniors

1. Lionel Messi (Barcelona) £40.5munatakiwa uangalie kile ambacho unachotakiwa kushinda.



No comments:

Post a Comment

Pages