NO RAP BETTER DIE 'EMINEM' - BZONE

NO RAP BETTER DIE 'EMINEM'

Share This
Rapa Eminem amesema hajui atafanya nini baada ya kuacha muziki wa Rap nakusema labda atajirusha nje ya dirisha kutokana na hali hio

Eminem alikuwa akiongelea kuhusu jambo la kuzidi kuonyesha dunia kuwa anaweza kufanya rap vizuri zaidi kila siku,
Marshall Mathers Aka Eminem anasema >“Nimekuwa nikijaribu kila wakati kujiongeza niwe bora kwenye rap na kuna kitu huwa nataka kufanya kuzidi kuendelaa kuwa bora kwenye rap, sijui kazi yoyote zaidi ya rap, sijui nitakachofanya baada ya kuacha au kushindwa kufanya rap, labda nitajirusha nje ya dirisha, najaribu kila siku kushawishika kuwa bora”.
Eminem yupo barabarani akitangaza album yake mpya Revival

No comments:

Post a Comment

Pages