GOODBYE GAUCHO..!! RONALDINHO ASTAAFU SOKA RASMI AKIWA NA MIAKA 37 - BZONE

GOODBYE GAUCHO..!! RONALDINHO ASTAAFU SOKA RASMI AKIWA NA MIAKA 37

Share This
Ronaldinho, 37, has called time on his career as a professional footballer according to his agentAliekuwa mshindi wa kombe la dunia Ronaldinho amestaafu soka, kaka yake na wakala wake wamethibitisha ilo.

Ronaldinho mwenye miaka 37 akucheza tena timu ya adhi kubwa tangia alipoondoka Fluminese mwaka 2015.
The crafty Brazilian, pictured in a Legends match last year, achieved hero status at Barcelona

Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona na alikuwa ni moja ya wachezaji walioshiriki na kunyakua kombe la dunia mwaka 2002 na alishawahi kubeba kombe la klabu bingwa ulaya baada ya kushinda Ballon d'Or.As well as playing for some of the biggest clubs in the world, Ronaldinho was one of his country's greatest ever players. He won 97 senior caps and scored 33 goals for BrazilRonaldinho was an entertainer and he delighted many fans with his flair, skill and imaginationRonaldinho alianza harakati zake za soka akiwa na Gremio kabla ya kwenda Paris St Germain mwaka  2001 baada ya kuondoka Barcelona Mbrazili huyoo vile vile aliweza kukanyaga dimba la Sansiro akiwa na Ac milan na kubeba kombe la ligi msimu wa 2010/11.

No comments:

Post a Comment

Pages