THEO WALCOT AMEFUNGUKA SABABU ZILIZO MFANYA MPAKA KAONDOKA ARSENAL BAADA YA DILI LA PAUNI 20M KWENDA EVERTON - BZONE

THEO WALCOT AMEFUNGUKA SABABU ZILIZO MFANYA MPAKA KAONDOKA ARSENAL BAADA YA DILI LA PAUNI 20M KWENDA EVERTON

Share This
Theo Walcot ametoa mashtaka yake ya kuacha kuitumikia Arsenal baada ya miaka 12 baada yav dili lake la pauni miliono 20 kuelekea Everton.

Walcot alisema ilimlazimi kuondoka kwasababu alikuwa hayupo tena kwenye sehemu ya mipango ya Wenger kwenye kikosi cha kwanza na hakufanikiwa kuanza mchezo wowote wa ligi kuu uingereza tangia Aprili.

"Ilitokea kuwa kama ni mda wangu mimi kusonga mbele" alisema winga huyo wa kingereza "ilikuwa inasikitisha sana lakini inasisimua na kufurahisha kwa mda huo huo."

"Nataka kujenga vilivyo historia yangu ya soka na kuisogeza Everton kupata ushindi  na kufanya vitu ambavyo havikuwahi kufanyika mwanzo!!"

Walcot mwenye umri wa miaka 28 ambae amesaini dili la miaka mitatu na nusu amesema alekuwa mchezaji mwenzake kwenye timu ya taifa Wayne Rooney ndio alietoa ushawishi wa yeye kuhamia Everton. nilikuwa na chati nae kazaa na akaniambia ni sehemu nzuri kucheza soka na ni klabu ambayo ipo juu. 

"Na hizo ndio zilikuwa ni sababu kuu zilizo nifanya mimi mpaka kuwepo hapa."

No comments:

Post a Comment

Pages