BADO NYINYI SASA BAADA YA YANGA, TUNATAKIWA KUBADILIKA...!! - BZONE

BADO NYINYI SASA BAADA YA YANGA, TUNATAKIWA KUBADILIKA...!!

Share This
Klabu ya Yanga SC imeingia udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Macron wa thamani ya bilioni mbili kwa muda wa miaka mitatu, kampuni hiyo ndiyo watakaokuwa wakiivalisha klabu.

Macron itakuwa ikitengeneza jezi za Yanga na vifaa mbalimbali vinavyotumika na wachezaji.
Lakini pia itakuwa ikitengeneza jezi zinazovaliwa na mashabiki ambazo zitauzwa kwao.

Mkataba huo umesainiwa jana mbele ya wawakilishi wa Macron na Yanga ambayo iliwakilishwa na Katibu wake Mkuu, Charles Boniface Mkwasa.

No comments:

Post a Comment

Pages