MCHUKUE MKHI TU..! Man United wapo teyari kumuuza kwa £30m nje na kuweka chumba kwajili ya Ozil. - BZONE

MCHUKUE MKHI TU..! Man United wapo teyari kumuuza kwa £30m nje na kuweka chumba kwajili ya Ozil.

Share This
SPORTS: Jose Mourinho yupo teyarii kumtoa Henrikh Mkhitaryan msimu huu ili kupata upenyo wa kimsajili  Mesut Ozil kama mbadala wake.

Kocha huyo wa United yupo kwenye mawindo ya kiungo wa Arsenal Ozil. Ambae mkataba wake unakaribia kuiisha mwisho wa msimu huu, lakini ikumbukwe anatakiwa kupunguza kikosi chake kabla ajamleta mchezaji huyoo wa kijerumani akiwa huru.

Mourinho teyari ameshatangaza juu ya Mkhitaryan kwa kumtuhumu kwa “kupotea” kwenye michezo  tofauti na kukubali kuwa wiki hii hana nafasii kabisa Muarmenia huyoo hata sub akitokea benchi.

Hiyoo ndo unaweza ukawa mwisho wa mchezaji huyo alietokea Borussia Dortmund kwa £30m kwenye msimu 2016.
Wababe hao wa Old trafford watakuwa wanajiamini kuweza kurudisha ela ya hiyoo mbali na mchezaji huyo mwenye miaka 28 kupungua kiwangoo chake.

Player ranking — Manchester United

 • Romelu LukakuManchester United
  Romelu Lukaku
  App.
  17
  Goals
  9
  Anthony MartialManchester United
  Anthony Martial
  166
  Marcus RashfordManchester United
  Marcus Rashford
  174
  Paul PogbaManchester United
  Paul Pogba
  83
  Marouane FellainiManchester United
  Marouane Fellaini
  93
  Jesse LingardManchester United
  Jesse Lingard
  133
  Ashley YoungManchester United
  Ashley Young
  132
  Antonio ValenciaManchester United
  Antonio Valencia
  172
  Eric BaillyManchester United
  Eric Bailly
  81
  Chris SmallingManchester United
  Chris Smalling
  121

Arsenal in the Premier League

 • Alexandre LacazetteArsenal
  Alexandre Lacazette
  App.
  17
  Goals
  8
  Alexis SánchezArsenal
  Alexis Sánchez
  144
  Olivier GiroudArsenal
  Olivier Giroud
  144
  Danny WelbeckArsenal
  Danny Welbeck
  113
  Aaron RamseyArsenal
  Aaron Ramsey
  153
  Mesut ÖzilArsenal
  Mesut Özil
  142
  Nacho MonrealArsenal
  Nacho Monreal
  172
  Per MertesackerArsenal
  Per Mertesacker
  41
  Alex IwobiArsenal
  Alex Iwobi
  91
  Shkodran MustafiArsenal
  Shkodran Mustafi

Mkhitaryan amepambana sana kuleta matokeo yalio bora ndani ya united . Teyari hana Juan Mata, ni kitu ambacho kitaweza kuleta ugumu kwa Mourinho pale atakapoleta namba 10 nyingine.

Arsenal teyari washampaa ofa nyingine Ozil, akiwa kwenye kiwango kilicho bora na kulipwa £275,000 kwa wiki pale atakapo saini mkataba mpya kwa kumsawishi ili aweze kubaki ndani ya Emirates.
Mourinho ameshawahi kufanya nae kazi miaka mitatu ilio pita pale alipokuwepo Real Madrid pale alipo mpaga sifa kuwa yeye ni namba 10 mzuri dunia.
Inaweza ikawa pia ikampa na kumfanya kuridhika kama atakapo ipata saini yake kwa bure bila mauzo.

Barcelona pia wanamnyapia Ozil lakini inasemekana mahali sahihi na kwa urahisi anaweza akatua United na wachezaji wenzake wamekuwa wakimuongelea mchezaji huyo kuwa anaweza akajiunga na united msimu ujao.

Lulu hiyo ya Ujerumani, 29, pia anajua atakuwa na uwezo wa kutoa komandi ya kuwa huru na kujiunga na miamba yoyote anayoitaka kwenye dirisha dogo la Januari.No comments:

Post a Comment

Pages