'SITO HUDHURIA TENA TUZO ZA KIMATAIFA' WIZKID - BZONE

'SITO HUDHURIA TENA TUZO ZA KIMATAIFA' WIZKID

Share This
ENTERTAIMENT: Staa wa muziki kutoka Nigeria WizKid akiwa nchini Uganda kwaajili ya Show yake amesema hatohudhuria tena tuzo zozote duniani kama wanawapa wasanii wa Afrika Tuzo wakiwa BackStage ikiwa ni tofauti na wasanii wengine.
WizKid alisema “This is why I don’t go for those shows. That is what I do, I don’t take nonsense from anyone trying to look down on Africa,” >“Ndio maana siendi kwenye hizi show, sipendi mambo ya kipuuzi kutoka kwa mtu yoyote anayetaka kudharau Africa”.
Mfumo wa kuwapa tuzo wasanii wa Africa wakiwa backstage umefanywa na tuzo kubwa kama BET na MTV kwa muda mrefu ndio maana WizKid hukataa kuhudhuria tuzo hizi.TAIFA

No comments:

Post a Comment

Pages