Beki wa Manchester United Eric Baily atole nje ya kikosi kwa miezi mitatu huku akitakiwa kufanyiwa upasuaji wa Enka. - BZONE

Beki wa Manchester United Eric Baily atole nje ya kikosi kwa miezi mitatu huku akitakiwa kufanyiwa upasuaji wa Enka.

Share This
Manchester United defender Eric Bailly has been ruled out for up to three monthsSPORTS: Jose Mourinho amefunguka juu ya hali ya Eric Bailly kutokuwepo kwenye kikosi kwa miezi huku akitakiwa kufanyiwa upasuaji wa jeraha la Enka.The Ivorian last appeared for United in the game against Chelsea on November 5

Beki huyo wa united amekosekana tangia united ilipo poteza dhidi ya Chelsea Novemba 5. Mourinho alisema mapema ya wiki hii kwamba United  wanamatumaini ya kumuhudumia Bailly nakurudi akiwa fiti bila kufanyiwa upasuaji lakini hiyo imeshindikana.

No comments:

Post a Comment

Pages