KEVIN DE BRUYNE KASHAKUWA MPIGAJI PASI BORA KWENYE LIGI KUU UINGEREZA AMBAYE AJAWAHI KUONEKANA MPAKA SASA ANGALIA KUMI BORA YA VIUNGO BORA UINGEREZA MPAKA SASA...! - BZONE

KEVIN DE BRUYNE KASHAKUWA MPIGAJI PASI BORA KWENYE LIGI KUU UINGEREZA AMBAYE AJAWAHI KUONEKANA MPAKA SASA ANGALIA KUMI BORA YA VIUNGO BORA UINGEREZA MPAKA SASA...!

Share This
Kevin De Bruyne has already proven to be the best passer of the ball in Premier League historySPORTS: Ligi kuu uingereza imebarikuwa kuwa na wachezaji wenye ufundi mkubwa wa kupiga pasi za maana.   Cesc Fabregas hana ufundi mkubwa na robo ya kupiga pasi ameweza kuleta matokeo yalioo bora kwa Diego costa, Eden Hazard  na kwasasa  Alvaro Morata.

Frank Lampard alikuwa mwelewa mzuri hasa kwa Didier Drogba akitengeneza 24 kati ya magoli  104 ya ligi kuu uingereza ikiwa ni rekodi kubwa ya usaidizi wa magoli.

Dennis Bergkamp alikuwa na uzito wa pasi mkubwa ilikuwa ni mshangao mkubwa  kwa Thierry Henry akiwa kama mchezaji bora ambae katika maisha yake ya soka hajawahi kukutana nae.The Belgian playmaker has proved adept at flourishing in every part of the attacking game

Lakini Kevin De Bruyne  tunakiungo ambae ambae pasi zake ni kiwango kingine kabisa upimaji wake ni upimaji mkubwa ambaoaujawahi kuonekana, akiwa mchezaji mwenzakoo kwenye timu utafurahi kwa pasi zilizokuwa na unakshi nakshi mkubwa na ulio mzuri, hakuna kitu ambacho kiungo  juu wa City awezi kukifanya asee.
Top 10: Redknapp's Premier League passers

Namba zake mwenyewe ndio zinazoongea; kiungo mwenye usaidizi mkubwa kwenye msimu huu wa ligi, ametengeneza nafasi 56 pasi alizopiga kwelekea nusu ya maadui 1035.

Utofauti uliokuwepo kwa De Bruyne shujaaa sana. Hanacheza bila uwoga wote wote kwenye sita, hana hata cha kuofia ata kama pasi yake haitokamilika kwasababu hanawanua vizuri wenzake wakiwepo uwanajani.

Angalia kwa mara ya kwanza pasi yake kwa Leroy Sane dhidi ya Tottenham. De Bruyne  kiukweli hanamjua Sane vizuri na kuziweza kuzila pass zake za mwishoo. Kwa Pep Guardiola  De Bruyne hana kocha ambae sio muoga hasa kumuona mchezaji wake  anacheza kwa uwoga

Swali la kujiuliza hawa Uingereza wataemda vipi kumzuia De Bruyne kwenye kombe la Dunia? Eric Dier na Harry hawakuweza kummiliki wakiwa na Spurs na kula kichapo 4-1. Tatizo la Ubeligiji ni nani wa kumkaba Eden Harzard anaweza akapata nafasi. Inabidi wawemakini..!


No comments:

Post a Comment

Pages