NAANZA KUPATA WASI WASI JUU YA BOURNEMOUTH. - BZONE

NAANZA KUPATA WASI WASI JUU YA BOURNEMOUTH.

Share This
SPORTS: Wameshinda michezo tisa tuu ya ligi pekee ndani ya mwaka 2017 pamoja na West Bromwich ambao nao wameshinda michezo michache.

Nilipenda jinsi walivocheza lakini Liverpool waliwapa zawadi ya mapema ya Christmas jana. kuweza kumzuia Jurgen klopp inabidi ufanye roho mbaya sana kama ilivyo kwa Everton na West Brom walivofanya wiki iliyopita.

Bournemouth walianza kujipanga kwa mashambulizi kadhaaa lakini wali adhibiwa. Wana mda bado mwingi wa kuweza kujitoa kwenye athali ya kushuka daraja lakini wanatakiwa wawe makini sana.

No comments:

Post a Comment

Pages