'KAMA WAKIWACHUKUA WACHEZAJI WOTE WAZURI,ITAKUWA NGUMU SANA KWASISI KUPIGANIA' - BZONE

'KAMA WAKIWACHUKUA WACHEZAJI WOTE WAZURI,ITAKUWA NGUMU SANA KWASISI KUPIGANIA'

Share This
SPORTS: Kocha wa Chelsea Antonio conte amelalamikia klabu za uingereza wafanye lolote linalowezekana ili waweze kumchapa MANCHESTER CITY ili asiweze kumsajili Virgil Van Dijk.Virgil van Dijk could end up leaving Southampton in the January transfer window

Beki huyo wa kati wa Southampton alikuwa kwenye njia ya kuelekea Liverpool kwenye dirisha kubwa la usajili huku ikisemekana kuwa timu nyingi za Uingereza na ulaya kwa ujumla zinaiitaji huduma ya beki huyo wa uholanzi, na sasa hanasakwa kwa hudi na uvumba pale dirisha la Januari litakapo funguliwa.

Jumamosi Van Dijk aliwekwa Benchi kwenye mchezo wa Southampton na Chelsea katika dimba la Stanford bridge na Mauricio Pellegrino alithibitisha anaweza akaondoka Januari.
Antonio Conte has urged Premier League rivals to compete with Man City to sign Van Dijk

Na  Conte alilaumu sana kila klabu inayotaka kumsajili Van Dijk wafanye kila linalowezskana waweze kumsajili beki huyo ili City wasimchukue.

‘Kila timu, kila klabu inatakiwa iwe makini’ Conte alisema. ‘Klabu kama Manchester City inafanya kazi ya kuwachukua wachezaji wote wazuri, itakuwa ni ngumu sana kwa sisi kushindana nayo. Sio tu  Uingereza ata Ulaya nzima.’
Chelsea boss Conte said if City take the best players, 'it will be very difficult' to fight with them
City wanaonekana wakiwa na 🔥 kwenye kampeni yao ya ubingwa msimu huu huku wakiwa na uongozi wa alama 11 huku wapinzani wao Manchester United wakiwa nyuma yao huku tukiwa tunaelekea kwenye msimu wa sikukuu.


No comments:

Post a Comment

Pages