DILI LA VANESSA MDEE NDANI YA UNIVERSAL MUSIC GROUP - BZONE

DILI LA VANESSA MDEE NDANI YA UNIVERSAL MUSIC GROUP

Share This
ENTERTAIMENT: Mwanamuziki wa pop nchini Tanznaia Vanessa Mdee ni mwaka wake huu, ameweza kujiunga na Universal Music Group ukiwa unaambiwa kwa harakaharaka unaweza ukajua kuwa ni utani hasa pale unaposikia kuwa alisajiliwa ni msanii kutokea Afrika hasa ukanda wa Afrika Mashariki.Image result for vanessa mdee

Lakini yeye mwenyewe Mdee aliweza kufunguka na kusema,  Kama ilivyo ada, tunaanza kwa kumshukuru mwenyezi mungu kwa baraka zake na kibali chake cha kutufikisha siku njema ya leo.Nawashukuru mashabiki wangu, ndg, jamaa na marafiki wa karibu, tuliokuwa sambamba tangu mwaka unaanza mpaka hivi sasa tukielekea ukingoni.
Nimeona niitumie siku na fursa hii kuwajulisha wapendwa mashabiki zangu; Mwanzoni mwa mwaka huu, 
Nilipitia changamoto nyingi Sana lakini kwa neema za Mungu , Nilitoka mahali pale na sio kuona baraka tu bali na maajabu mengi yaliyotokea kwenye maisha yangu . 
Ikiwemo kuwa mmoja wa familia ya Universal Music Group in a unique joint signing between @universalmusicgermany @airforce1 and @universalmusicgroup na hii ni mara ya kwanza kwa Msani wa Kiafrika kupata deal ya aina hii yenye mkwanja mrefuuuuuuuuuuu sana . Hii ni habari njema kwa mashabiki wangu na ndiyo kwanza tumeanza. Mambo makubwa zaidi yanakuja . Kumbuka kila mwisho wa Jumapili ndiyo mwanzo wa Jumatatu, usiogope kuanza upya.’

No comments:

Post a Comment

Pages