SHILOLE NA UCHEBE RASMI SASA MKE NA MUME - BZONE

SHILOLE NA UCHEBE RASMI SASA MKE NA MUME

Share This
ENTERTAIMENT: Shilole na Mpenzi wake Uchebe ambao hivi karibuni waliripotiwa kuwa na matatizo kwenye mahusiano yao wamefunga ndoa leo 6 December 2017.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha taarifa hii, ndoa hii ilikuwa siri na walioalikwa walikuwa marafiki wa karibu na familia tu.
Hongera kwa Shilole na Uchebe, Kila la Kheri kwenye Ndoa na maisha yenu 

No comments:

Post a Comment

Pages