Na kuna upande zinapigania kuelekea upande wa pili wa Europa. Kwa sheria za Uefa huwa zinasemaga hivi.
- Rekodi za kukutana timu kwa timu na usawa wa alama
- Tofauti ya magoli
- Magoli ya kushindaa
- Magoliii ya ugenini kushinda
- Ushindi
- Ushindi wa ugenini
- Rekodi ya heshima
KUNDI A-Jumanne
Benifica vs Basel, Manchester United vs Cska Mosco. United wanatakiwa wapate alama wakiwa nyumbani dhidi ya Cska Moscow ili kuweza kuibuka mshindi wa kundi na kama akipoteza bado ataweza kuendelea kwa magoli sita tofauti kama Basel akipigwa.
Kama Cska na Basel wasipo mpiga Benifica United na warusi watapita
GROUP B-Jumanne
Bayern Munich vs Paris saint-Germain, Celtic vs Anderlecht
PSG na Bayern wote wamepita lakini wanaitaji kukamilisha michezo yao iliyobakia. PSG walishinda mchezo wao wa kwanza dhidi ya Bayern kwahiyo wajerumani hawa wanatakiwa kushinda dhidi ya wafaransa kwa magoli manne ili kuondoa utemi baina yao, Celtic na Anderlchet wote bado watamaliza nafasi ya tatuu pekee na ushindi. Wa 3-0 kati ya mmoja wao ndo itakuwa poa sana
KUNDI C-Jumanne
Roma vs Qarabag, Chelsea vs Atletico Madrid
Chelsea teyari washapita na wanatakiwa tu wailinde nafasi yao ya kwanza kwa ushindi au Roma akishindwa kushinda dhidi ya Qarabag.
Atletico wanatakiwa kushinda na kujipa matumainu ya Roma kupoteza mchezo wao na kupanda hadi nafasi ya pili.
KUNDI D- Jumanne
Barcelona vs Sporting Lisbon, Olympiacos vs Juventus
Barcelona wameweza kushinda hatua ya makundi na Juventus watawafata kama wakishinda dhidi ya wagiriki au Sporting Wakishindwa kushinda.
Juve. Wanaweza kumaliza kwa alama sawa kama Sporting wakiweza kupita. Olympiacos waooo ndo basi tena
KUNDI E- Jumanne
Maribor vs Sevilla, Liverpool vs Spartak Moscow
Liverpool wataweza kupita kwa sare na kupanda hadi nafasi ya kwanza kwa ushindi. Kwa sare wataweza kupita kama sevilla asipo asipo shinda.
Liverpool wapo kwenye hatari ya kutomaliza nafasi ya kwanza kama wakipata sare.
Spartak lazima washinde kwa matokeo mengine mbali na ushindi lazima wamalize nafasi ya tatu
KUNDI F-Jumanne
Shakhtar Donetsk vs Manchester CitY, Feyenoord vs Napoli
Manchester city wameweza kulilipua kundi hili na Shakhtar Donetsk wanaweza kuungana nao hatua ya 16 bora kama wataweza kujilinda dhidi ya Guardiola ili wasiweze kwenda moja kwa moja kwenye hatua Europa
Waukraine hao wataweza kupita kama napoli hasipo weza kupata ushindi dhidi ya Feyernood
KUNDI G- Jumatano
RB Leipzig vs Besiktas, Monaco vs Porto
Kwa upande wa Besiktas wao binafsi wapo vizuri huku klabu iyo ya kutokea uturuki wao binafsi teyari wameshapita
Leipzig wanatakiwa kuwapiga wababe wa uturuki na kujipa matumaini ya monaco kupokea kichapo.
KUNDI H- Jumatano
Real Madrid vs Borussia Dortmund, Tottenham vs APOEL Nicosia
Tottenham wamweza kupita hukun wakiwa washindi wa kundi ili baada ya kuwachapa mabingwa wa ulaya Real Madrid kwenye dimba la Wembley na pande zote mbili zimeweza kupita
sasa limebaki chaguo moja tuu kati ya wajerumani yani Dortmund au APOEL baada ya sare kati yao na wanatofautioana magoli tuu na mmoja wao anatakiwa kushika nafasi ya tatu ili aweze kwenda Europa na mwingine atuage kabisa
No comments:
Post a Comment