Taa za christmas zishawaka lakini uwanja hunaonekana kuwa na wawili tuu. Liverpool wameshuka kwasababu hawawezi kuzuia, Chelsea na Tottenham kwasababu hawakuwekeza vizuri msimu huu kwa Arsenal wao tangia mwanzo sio washindanaji wa kombe siku zote.
Lakini kazi ipo hivi sasa united wanatakiwa wawapige City wakiwa Old Trafford ilikuweza kuweka mambo sawa na wanatakiwa kufanya hivo bila pogba.
United wataoata ufumbuzi leo jumatatu watakapo kata rufaa ya kadi nyekundu, huku mfaransa huyo akijitetea huku akisema akukusudia kumkanyaga beki uyo wa Arsenal.
No comments:
Post a Comment