Manchester United, Manchester City, Liverpool, Tottenham na Chelsea wote wameweza kujiwekea heshima ya kutotoka kwenye hatua ya makundi.
Ukiachalia mbalii uwepo wao wa utano kwenye makundi Chelsea wameteleza kwenye nafasi ya pili. City, United, Liverpool na Spurs wanaweza wote wakakutana na Real Madrid, Juventus au Bayern Munich.
Basel, Sevilla, Shakhtar na Porto wamemaliza nafasi ya pili kwenye makundi yao na wanaweza wakapamgiwa na timu ya kingereza.
Besiktas, Barcelona na PSG ni timu pekee ambazo zinaweza zikakutanishwa.
Kushindwa kuichapa Atletico Madrid Jumanne imewafabya kushuka kwenye nafasi ya pili kwenye kundi na kuwa nyuma ya Roma ina maana wanaweza wakakutana na kamba ngumu hatua ya 16.
MANCHESTER UNITED ANAWEZA KUPANGIWA NA NANI?
- Real Madrid
- Juventus
- Bayern Munich
- Sevilla
- Shakhtar Donetsk
- Porto
MANCHESTER CITY ANAWEZA KUPANGIWA NA NANI?
- Real Madrid
- Juventus
- Bayern Munich
- Sevilla
- Basel
- Porto
JE LIVERPOOL ATAKUTANA NA NANI?
- Real Madrid
- Juventus
- Bayern Munich
- Shakhtar Donetsk
- Basel
- Porto
TOTTENHAM ANAWEZA KUKUTANA NA NANI?
- Juventus
- Bayern Munich
- Shakhtar Donetsk
- Sevilla
- Basel
- Porto
CHELSEA ANAWEZA KUKUTANA NA NANI?
- Besiktas
- Barcelona
- Paris Saint-Germain
No comments:
Post a Comment