MONEY TALKS..!! ITyga atamba na pesa na gari la kifahari - BZONE

MONEY TALKS..!! ITyga atamba na pesa na gari la kifahari

Share This
BURUDANI:Rapa Tyga anazidi kuwafunga midomo waliosema amepigika baada ya kuonekana akifanya shopping lakinyama huko Beverly Hills kwaajili ya X Mass wiki hii.


Ukiacha bidha za Prada alizonunua, kwa sasa Tyga anatembelea gari mpya aina ya Bugatti ambayo mwanzoni mwa mwaka huu iliripotiwa kuwa alipokonywa gari hili kutokana na kushindwa kufanya malipo

No comments:

Post a Comment

Pages