ZLATAN IBRAHIMOVIC NA LUKAKU HAWAWEZI KUANZA PAMOJA...JARIBIO HILI LISIJIRUDIE TENA. - BZONE
demo-image

ZLATAN IBRAHIMOVIC NA LUKAKU HAWAWEZI KUANZA PAMOJA...JARIBIO HILI LISIJIRUDIE TENA.

Share This
SPORTS: Inzweza ukawa ni msuguano wa haina yake kuiita huu ni msuguano wa haina yake lakini haijarishi kama ilikuwa ni jaribio au laah..! lakini hisijrudie tena hasa kwenye hatua ya kuanza pamoja.

Zlatan Ibrahimovic hajawahii kuwa namba 10 tegemezi  na kamwe hatokuwa. Hameifanya Manchester united kuwa slow sana.
.com/blogger_img_proxy/
Kwa matokeo ya Ibrahimovic na Romelu lukaku kwa pamoja hawakufanya kazi kwenye boxing day. 

kwa upande wa Jose Mourinho alionekana kupoteza uwezo wa kuuwa tangia mechi ya Leceister City  alitaka wauuwaji wake wote wawili kumaliza mchezo na kuamua matokeo na kupata alama lakini haikuwa hivo..com/blogger_img_proxy/

Lakini halishindwa, kitu ambacho Mourinho amekionesha pale alipo mtoa   Ibrahimovic katika kipindi cha mapumziko united wakiwa nyuma ya magoli mawili..com/blogger_img_proxy/
kwa upande mwingine Ibrahimovic alikuwa anaonekana anaingia sana kwenye eneo la uaji lakini wakawa hawaonani na Lukaku. Ukabaji wa Bunley ulikuwa wa kufurahisha sana na wa kupendeza vibaya mnoo na kuwafanya waongoze mbele kwa kila kitu na kiukweli walikuwa hawapo kabisa kwenye msukumo na presha.

.com/blogger_img_proxy/Mourinho hana watu ambao wapo busy sana na wanaushawishi mkubwa na waelewa ni washambuliaji ambao wanaweza kuleta athari mda wote wote ule lakini kwa mpango ya hawa wawili pamoja ikiwa kama mpango A inaweza ikawa huzuni kwa United.

Ikumbukwe kuna shule ya huelewa kwenye klabu kwa miaka 36 alikuwa bado hanaonekana bado hajarudi kwenye kile kiwango chake  tangia hatoke kwenye majeruhi ya goti. 

Comment Using!!

No comments:

Post a Comment

Pages