FIRMINO HAIPA ALAMA LIVER BAADA YA WASHIKA MITUTU KUSHINDA GOLI TATU BAADA YA NDANI YA DAKIKA TANO... !! INCREDIBLE FIGHTBACK - BZONE

FIRMINO HAIPA ALAMA LIVER BAADA YA WASHIKA MITUTU KUSHINDA GOLI TATU BAADA YA NDANI YA DAKIKA TANO... !! INCREDIBLE FIGHTBACK

Share This
Granit Xhaka brought the game back on level terms two minutes later with a trademark thunderous long-range effortSPORTSRoberto Firmino haliipa timu yake alama na kuwafanya waendelee kuwepo nafasi ya nne baada ya Arsenal na vijana wa Jurgen Klopp kuonesha magoli yenye hisia kali ndani ya Emirates.Philippe Coutinho points to his head after using it to score for the first time in his Liverpool career and put them 1-0 ahead

Mkwaju wa Phillipe Countinho ndani ya kipindi cha kwanza na Mohamed Salah na ubabatizo dk 52  juhudi zilizo wafanya Liverpool kuwa na komandi ndani ya Emirates.

Lakini Arsenal walirudisha majibu baada ya dakika kadhaa kwenye kipindi cha pili kupitia Alexis Sanchez nakufuatia na goli la Granit Xhaka  na Mesut Ozil waliweza kubadilisha muonekano wa mchezo baada ya kuipa Arsenal magoli matatu ndani ya dakika 5.Roberto Firmino brought Liverpool back on level terms after Arsenal players left him free on the edge of their penalty area

Lakini Firmino alikuwa na usemi wa mwisho pale alipousogeza mpira ndani ya dakika ya 71 na kusawazisha kwa kudukuliwa na Peter Cech.

No comments:

Post a Comment

Pages