BACK OFF..!! CHIEF WA MONACO HAIPA TAHADHARI ARSENAL NA LIVERPOOL LEMAR SIO WA KUUZA. - BZONE

BACK OFF..!! CHIEF WA MONACO HAIPA TAHADHARI ARSENAL NA LIVERPOOL LEMAR SIO WA KUUZA.

Share This
SPORTS: Thomas Lemar hayupo sokoni Januari, Makamu wa Raisi Monaco amesisitiza.

Arsenal na Liverpool ni miongoni mwa timu ambazo zinamnyatia vibaya sana Thomas Lemar ambae ni kiungo wa Ufaransa waliaanza kumfukuzia tangia Agosti, na kwasasa Chelsea, Bayern Munich na Barcelona wameingia kwenye mbio za kiungo huyo kwa dau la pauni milioni 100 na 88.

Washindi hao wa Ligue 1 Monaco wameuza wachezaji wenye thamani ya pauni milioni 357 msimu uliopita wakiwemo Bernado Silva, Tiemoue Bakayoko na Kylian Mbappe.

Lakini vijana hao wa Monte Carlo kwasasa wamekataa kabisa kumuuza Lemar licha ya kutolewa nje ya klabu bingwa Ulaya  makamu wa raisi wa klabu hiyo Vadim Vasilyev amesema Lemar na Fabinho hawatouzwa mwezi ujao kwasasa Monaco wapo nafasi ya pili kwenye ligi ya Ufaransa.


No comments:

Post a Comment

Pages