Baada ya wiki atasafiri kuelekea ABU DHABI kushiriki kombe la dunia kwa klabu bingwa. Real Madrid staa mwenye miaka 32 na mfungaji bora wa mda wote.
Baadala ya kusukumwa nje ya uwanja kwenye mchezo wake wa mwisho wa ligi kama mchoyo na alikuwa akitazamwa kipindi ya mapumziko ya mechi za kimataifa kutokana na maoni yaliotolewa na wachezaji wenzake.
Ronaldo alisema baada ya kutoka Wembley kwenye mchezo wa Tottenham waliopata kichapo kizito huku akikosa uwepo wa pepe, Fabio coentrao, James Rodriguez na Alvaro Morata ambao wote waliondolewa kwenye kikosi na kupewa njia ya kuondoka.
Alisema pale palipokuwa na wachezaji wadogo wazuri kwenye klabu kulikuwa hakuna mbadala.
Sergio Ramos alikasirishwa sana na maoni hayo na hakakiambia kituo kimoja cha uhispania wiki hii iliopoita. Kwa kidokezo cha upinzani aliokuwa nao kwa sasa Ronaldo-ameshinda goli moja tuu tangia msimu huanze kwenye ligi kuu-bado hajapata kitu rahisi cha kujitetea.
'Hakuna mtu alisema pale tuliposhinda makombe mawili ya super cup mwanzo wa msimu' alisema Ramos. 'sijamkumbuka mtu yeyote. kikosi kimebadilika lakini kila mtu anacheza nafasi yake.'
Ramos pia aliulizwa kwanini mechi iliopita kabla ya ya mapumziko ya mechi za kimataifa Ronaldo akushangilia na wachezaji wenzake pale walipo shinda dhidi ya Las Palmas.
Ramos alisema 'nimemjua mimi kwa kipindi kirefu na mda mrefu na ninajua jinsi alivokuwa mpambanaji sijali nani anashinda- Keylor Navas anaweza akazuia mpira uspite kwenye mstari lakini Ronaldo anacheza nafasi nyingine kabisa na hana malengo mengine kama Ballon d'or.
Wachezaji wa Real Madrid siku zote wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kujigamba na kujisifu na kitu ambacho kinachomfanya Ronaldo kukosa alama kwa watu.
kama baadhi ya timu wakipata mtum kama Isco, kumsimamisha marco Ansensio kuto piga mashuti na kumahinshia Ronaldo kuweza kupunguza uchache wake wa kutopata magoli itabidi tmu izo kuwa makini kwa Ronaldo na sio hawa wanao chipukia.
kuna ubandia ndani yake na ndani ya kikosi chake cha madrid. Rodriguez na Morata siku zote walimuombea Ronaldo. Isco na Ansensio wana agenda zao.
No comments:
Post a Comment