mkataba wa mkatalunya uyo unakimbilia ukingoni mwishoni mwa msimu unaokuja, maongezi ya vifungu vya sheria vidogo vidogo vimeanza kufanyiwa kazi kabla ujakatika mkataba wake.
Guardiola bado anatizamia kubaki na kushinda kombe la ligi mara kadhaa na inaonekana Guardiola uhusiano wake na bodi ya city ni mzuri.
Mazungumzo bado ahayajaanza kuzungumzwa lakini vyanzo vya habari kuotokea manchestser vinaonesha jinsi gani yupo teyari kuongea na kufanya mazungumzo.
Kuna uwezekano mkubwa sana mda wake kuwa mkubwa sana ndani ya dimba la Etihad uku miaka nne ambayo kwenye klabu mbili alizoweza kufundisha katumikia miaka minne ambazo ni Barcelona na Bayern Munich.
City wapo kileleni kwa point nane dhidi ya maasimu wao United kwenye ligi kuu Uingereza na wameshafuzu kushiriki atua ya 16 bora kwenye kombe la klabu bingwa ulaya.
No comments:
Post a Comment