ENTERTAIMENT: Msanii kutoka Nigeria Davido ameshinda Tuzo ya MTV European Music Awards ‘EMA’ ya mwaka 2017 kupitia Kipengele cha Best African Act.
Davido alikuwa akiwania tuzo hii na wasanii wengine kutoka Afrika kama WizKid, Nyashinski, Bebes Wodumo , C4 Pedro, na Nasty C wa Africa Kusini.
No comments:
Post a Comment