NILIMPENDA HENRY..! LAKINI HAWEZI KUINGIA KWENYE TANO BORA YANGU YA WACHEZAJI BORA WAKIGENI KWENYE LIGI YA UINGEREZA.. - BZONE

NILIMPENDA HENRY..! LAKINI HAWEZI KUINGIA KWENYE TANO BORA YANGU YA WACHEZAJI BORA WAKIGENI KWENYE LIGI YA UINGEREZA..

Share This
MARTIN SAMUEL: Why Thierry Henry doesn't make my top fiveSPORTS: Sergio Aguero ameanza..kweli, kusimama kwenye dimba la Etihad, huku akishikilia kiatu cha  blue kwakuwa mfungaji bora kwenye klabu ya Man city.

Inamfanya mtu afikilie wapi atakaa huku kukiwa na wachezaji wengi wakigeni waliojiunga na Ligi kuu ya uingereza.

Ni vigumu kufkilia mgeni wa mwisho anae tokea america kusini sio kati ya wale wabrazil lakini ningepewa fursa ya kuchagua watano kwa karne hii..!The Argentine forward was given a standing ovation by past and present footballers

Anaweza akaingia kwenye listi hiyo? Wapo wengi wa kuchagua kutoka kwenye kikosi cha wachezaji 11 mfano kwa kikosi hiki cha Chelsea. Peter Cech, Branislav Ivanovic, Ricardo carvalho, Marcel Desaily, Cesar Azpilicueta, Claude Makelele, Ng'olo Kante, Eden Hazard, Gianfranco Zola, Arjen Robben, Diddier Drogba. Na bado hakuna chumba kwa Diego Costa, michael Essien, Michael Ballack au Ruud Gullit.

Tatizo la zoezi lolote duniani huwa kulingana na hali halisi yake, ata kwa mashabiki. Ngoja nikwambie kwa sasa. Thiery Henry hayupo kwenye orodha yangu. Najua. Nina hasira pia kwanini hayupo. Nafikilia kujiandika ata mimi mwenyewe barua kwa hili. Nilikuwa nafikilia nini. Japo nisikilize mimi kidogo.
Thierry Henry netted goals for fun at Arsenal with the striker scoring 30 or more goals a seasonHuku wachezaji watano bora wakigeni wakiwa wamesimamia kwenye ubora na viwango vyao binafsi, Henry anaweza akatolewa japo alionesha mchezo mzuri. Hawezi kukosa kwasababu kulikuwa na mtililiko na kufeli, sipo hapa kwajilikuchagua mashimo kwenye career ya mchezaji bora duniani.

Henry alishinda magoli 30 au zaidi kwenye vipindi vyake alivochezea Asernal. Alikuwa ni mchezaji bora mara tatu. Mbinu zake zilikuwa sio za dunia.hii umakini wake kwenye mchezo, maarifa yake yaliweza kumpa atua kwenye career yake. Nilipenda sana kumuangalia Henry, siwez kuamini sana nafsi yangu.

Lakini hapa ndio utajua kwanini hayupo. Orodha hii inasababu. Kuna vipaji vingi sana na vikubwa. Hiki ndio kinachonisukuma ninataka mabadiliko. Ninataka wachezaji ambao wanatumikia ambao wanabadilika kutokana na tamaduni za vilabu vyao ambao wanafanya mabadiliko huu ndo mchezo.

Na Henry akuwepo atua ya mwanzo Arsene Wenger kuibadilisha Asernal. Hakuwepo kwenye msimu wa kupambana 1997-98 pale Wenger alipokuja kuwa kocha wa kwanza wa kigeni kubeba kombe la ligi uingereza. Henry alijiunga na Asernal walikuwa teyari washalazimisha na ndio aliwafany wawe na nguvu na mwenye akili na mzuri kumuangalia.

Hawa ndio wachezaji ambao kwangu mimi ndio wachezaji bora watano kwangu mimi....Eric Cantona changed the mentality at Manchester United by leading extra training sessions

5. ERIC CANTONA
Aliibadilisha Manchester United. Watu walishaisahau klabu pale Cantona alipojiunga. United waliweza kuwapa Leeds kombe na huku wakiwa nafasi ya nane kwenye ligi.

Msisitizo wake kwenye mazoezi kila sikkwenye timu yake mpya. Alifungua macho yangu kwa jinsi anavojifua alisema Ferguson 'tulikuwa nashauku ya kuwa nae.'

4.SERGIO AGUERO

Sio kwamba eti alileta maana ya ligi kuu msimu wake wa kwanza au alikuwa yupo kasi kwa magoli 100 zaidi ya Shearer.Aguero (right, pictured with Raheem Sterling) has gone from strength to strength at City

Huwepo wake Aguero kwenye klabu yake ndani ya ligi kuu. City walishinda kombe lao la ligi baada ya miaka 44 kwenye magoli tofauti.

Ndio mmoja anaweza akahoji kwamba Yaya Toure alikuwa na ushawishi mkubwa wa kuibadilisha Man City lakini Aguero kwasasa ndio utajwa kila pande za Etihad.
Tuzo yake aliopata kabla ya mchezo wa Jumapili na Asernal ilikuwa ni sherehe kubwa kwa kipaji cha pekee. Aguero ni sehemu kubwa sana ya ushambuliaji kwenye kikosi cha Guardiola akishilikiana na kijana Gabriel Jesus.N'Golo Kante has shown he is one of the world's top midfielders at both Leicester and Chelsea

3.N'GOLO KANTE
Mchezaji wa haina yake ambaye anabadilisha klabu ndogo yoyote na kwenye nchi yoyote duniani. Itakua sio sahihi kusema angalia misimu miwili iliopita ambapo Kante alivoibadilisha Leicester kulikuwa na mipaka kwenye uchezaji wake kile anachokifanya.

Leceister walivoshinda  kombe la ligi 2015-16 ni historia kubwa sana kwenye soka la kingereza. Isingewezekana bila Kante ambae kacheza michezo 37 kwenye moyo wa kiungo. Na sasa ameenda Chelsea ambao walimaliza nafasi ya 10 msimu wake wa kwanza akicheza mara 35.

Mafanikio ya Kante yameweza kukuna watu wengi sana.

2.DENNIS BERGKAMP

Mda wa Bergkamp Henry alikuepo kweli? Vipi kuhusu viera...Bergkamp alipata sifa kwa kupiga hat-trick kibao kwenye ligi kama ilivoonekana kwenye leceister city mwaka 1997.Dutch forward Dennis Bergkamp helped to transform Arsenal into Premier League title winners

Licha ya hivyo bado Henry alionekana ndio mchezaji bora wa timu.

Bob Wilson ambae ndo anaijua Asernal vizuri kuliko mtu yeyote alinukuliwa akisema Bergkamp ni bora kuliko mchezaji yeyote Asernal.Cristiano Ronaldo won the Premier League title three times before joining Real Madrid

1.CRISTIANO RONALDO.
Magoli binafsi, ile motisha iliyopo ndani ya moyo na kile alicho kifanya ndani ya United, aliweza kuleta matokeo mazuri ndani ya ligi ya uingereza ili leta picjs kubwa sana duniani.

Msimu wa 2007-08 ambapo Ronaldo alishinda magoli 42 ulikuwa ni mwaka ambao timu ya uingereza ili mtoa klabu mwenzake ya uingereza kwenye klabu bingwa ulaya.

Ronaldo alikuwa kwenye kilele kikubwa. Alishinda magoli yake mengi kila dakika ya 88.6 aliweza kuifikia rekodi ilio wekwa na George Best alishinda ligi akashinda na klabu bingwa na alikuwa mchezaji pekee mwenye miaka 23 kuwa mchezaji bora wa dunia.

No comments:

Post a Comment

Pages