KUTOKA KWA COUNTINHO MPAKA KWA SANCHEZ, HIVI JINSI NYOTA WA LIGI KUU UINGEREZA WALIVOKUWA NA MATOKEO MABAYA TANGIA WALIVOHUSISHWA KUHAMA (JE BADO UHAMISHO WAO UTAENDELEA?) - BZONE

KUTOKA KWA COUNTINHO MPAKA KWA SANCHEZ, HIVI JINSI NYOTA WA LIGI KUU UINGEREZA WALIVOKUWA NA MATOKEO MABAYA TANGIA WALIVOHUSISHWA KUHAMA (JE BADO UHAMISHO WAO UTAENDELEA?)

Share This
Alexis Sanchez came so close to a dream reunion with Pep Guardiola at Manchester CitySPORTS: Ulikuwa ni msimu ambao timu kubwa zilikuwa zinapigania kurudi kwenye chart na kubakiwa na majina yao makubwa kama Phillipe Countinho, Alexis Sanchez na Virgil Van Dijik ambao walilazimishwa kubaki na kutoondoka kwa namna yeyote ile na kwa ela yoyote ile.

Lakini wachezaji hao hawakuweza kuondoka hasa pale ujani ulivokuwa wa kijani na bado kijani itabakia kwao?

Kwa wengine kama Riyad Mahrez uitikiaji umekuwa wa namna fulani hivi  na wengine walio kuwepo njiani bado safari yao ipo kwenye kizuizi cha uongozi laaa asha bado kuna wengine bado wanapambana binafsi.

PHILIPE COUNTINHO (LIVERPOOL)

Mbrazili amweza kuweka ukimya dhidi ya yeye kuhusishwa na uhamisho wa Barcelona, huku Barcelona wakiamini kijana huyo akicheza Nou camp anaweza akaziba pengo liloo wazi kwa sasa. Lakini Liverpool wakakataa kabisa huku director wa wa maswala ya uuzaji ndani ya Liverpool Michael Edwards alipokazia Countinho kutouzwa.
Jurgen Klopp has been happy to play Philippe Coutinho after his summer of discontent
Pesa iliowekwa mezani Barca kwa kijana huyo wa miaka 25 ilikuwa ni kitita kkirefu na kizito na hakuna anae jali kwa ilo.
Countinho ajaweza kufikisha vile viwango vya magoli vinavyotakiwa msimu uliopita lakini bado inaonekana maswali kwa wengi juu ya hadhi yake na ubora wake ndani ya dimba. kumbuka kwa sasa amrcheza mechi tano tuu, huku akikosa mechi za mwanzo wa msimu .

COUTINHO IN 2017-18 

Appearances: 9
Minutes: 610 
Goals: 4
Assists: 3
Key passes: 24



ALEXIS SANCHEZ (ASERNAL)

Msimamo wa kumuuaza Robin Van Persie kwa mashetani wa Man United kuliko kumuacha amalize mkataba wake kumalizikia ndani ya klabu na kuondoka kuwaacha mikono mitupu , ilikuwa ni jambo la kushtukiza pale tulipo sikia sanchez alipokuwa anawindwa na Man city kwa pauni milioni 50Sanchez has not been the force of old and has only scored twice in 10 Arsenal games

kwa mda huu inaonekana lingekuwa ni kosa kubwa sana kumuuza huyu mtu, mchile huyu hadi hivi sasa ajawa mmiliki na msawishi wa magoli na matokeo kwenye michezo 10 ya washika bunduki wa london msimu huu.

Sanchez alipotaka kuongeza mkataba tena, Asernal wakaamua kuhamisha mahamuzi yao ya baada yake wamepanga kumuuza Januari potelea pote japo wata pesa nusu ya msimu.Alexis Sanchez came so close to a dream reunion with Pep Guardiola at Manchester City

Pep Guardiola ambaye alimsimamia Sanchez pale walipokuwa wote Barcelona na bado anamuiitaji mchezaji huyo hadi hivi sasa.


SANCHEZ IN 2017-18

Appearances: 10
Minutes: 725
Goals: 2
Assists: 2
Key passes: 23


VIRGIL VAN DIJK (SOUTHAMPTON)

Southampton walifikia hatua ya kutojielewa hasa pale klabu ilipokuwa inataka kuuzwa na vile vile beki wake naye alikuwa akiitajika na majogoo wa Liverpool kwa  Pauni milioni 60.
Southampton rejected their selling club tagline to keep Virgil van Dijk away from Liverpool
palikuwa moto pale Anfield ambapo kulikuwepo na ulazimishaji wa muhoranzi huyo kutua katika dimba ilo lakini mambo yakawa sio mambo.

Liverpool iliwabidi wasonge hivo hivo bila mhoranzi huyo lakini haikuwa rahisi kumpata van Dijk.  kocha wa Liverpool bado anamuhitaji beki huyo kwahiyo tutarajie mda wowote kuvutwa nndani ya Liverpool.


VAN DIJK IN 2017-18 

Appearances: 6
Minutes: 453
Clean sheets: 2
Tackles: 4
Clearances: 36 


RIYAD MAHREZ (LEICESTER CITY)

Mahrez alikuwa karibuni kuondoka Leceister city,Algeria walimpa mda wa kupumzika kwenye timu ya taifa kwenye siku ya mwisho ya usajili. Hata kama  ilinukuliwa kuwa Roma nao walikuwa nao waikuwa na interest ya kumchukua mshambuliaji huyo.
Licha kuto toka haikumathili winger huyo, amecheza karibia michezo yote ya ligi lakini kiwango chake sio kile tunachokijua laah hasha kwenye michezo yake miwili ya mwisho amefanya vyema sana chini ya kocha Claude Puel ambae anamjua vizuri tangia alipokuwa Ufaransa.Riyad Mahrez took time off from Algeria in hope of sealing a deadline day exit from Leicester

Alipigiwa kura na kuwa mchezaji bora wa PFA kwa misimu miwili. Mahrez ameshinda mara 3 kwenye michezo mitano iliyopita. Kama akiendelea hivi hivi  na kiwango hiki kuna vilabu vitazidi kumuitaji January.


MAHREZ IN 2017-18

Appearances: 11
Minutes: 869
Goals: 2
Assists: 4
Key passes: 13


No comments:

Post a Comment

Pages