Asernal hawakupoteza kwasababu David Silva aliotea pale alikuwa anatengeneza nafasi ya goli la tatu, ata ivyoo wangepoteza tuu, hamli waliyoikubali lakini kumbuka ndo ilikuwa nafasi ya kuwapima mabeki wa city kwa kuwatia pressure.
Goli moja la kuongoza! Mh dhidi ya timu iliyo bora kwenye ligi kuu, watu wengi walitabili city angeanguka msimuu chini ya kocha Guardiola, haikuwa ivyo ni Asernal ambao wameshuka kiwango.
Kutakua na malalamiko mengiii sana juu ya hili, licha kuwepoo kwa marefa wenye viwango bora ambao hawajawahi fanya ovyo, kulingana na Arsene Wenger.
No comments:
Post a Comment