
Alvaro Morata aliweza kushinda goli pekee kwenye dimba la Stamford Bridge huku vijana wa conte wakijifariji baada ya kupokea kichapo katikati ya wiki kutoka Kwa Roma na jana kupata ushindi wa nguvu wakiwa nyumbani.
Hata ivyo baada ya kipenga cha mwisho, conte alimuacha mwenzake na kwenda kushangilia na mashabiki na kuingia uwanjani na kuwapongeza wachezaji wake.
Mourinho alitokea kusubiria mkono wa conte lakini wazi ilonekana muitaliano huyo alimpotezea mreno lakini baadhi ya wasaidizi wa Conte waliienda kumpa mkono Mourinho, Baada ya kumaliza kushangilia conte alikaaa kwenye press na kusema.. 'mkono sio muhimu. muhimu ni kushinda mchezo kushikana mikono ingekuwa muhimu kwa kuleta matokeo ningempa, lakini cha umuhimu zaidi ni kile kichopo ndani ya uwanja' alisema kocha wa Chelsea.
Mourinho nae alionekana kwenye Press na kusema 'Conte alipotea kwahiyoo nikashikana mikono na wasaidizi wakw kwahiyoo hakuna tofauti.'
No comments:
Post a Comment