MC TOMINAY AMEONESHA KWANINI JOSE KAMPA SIFA BAADA YA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA KLABU BINGWA ULAYA - BZONE

MC TOMINAY AMEONESHA KWANINI JOSE KAMPA SIFA BAADA YA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA KLABU BINGWA ULAYA

Share This
Jose Mourinho handed the midfielder a surprise start in the 2-0 win over BenficaSPORTS: Watazamaji wa Manchester United ambao wamemuona Scott McTominay ambae amekuja kuonesha kiwango kikubwa, mwenye nguvu, lakini kwenye utaalamu wa soka na wataalamu wa soka  wanasema.ni moja ya wachezaji ambao wanatokea kwenye academy wakiwa na kiwango kikubwa kwenye siku izi za karibuni.

Lakini makocha walio wengi wanaweza wakawaacha makinda hawa lakin si kwa Jose Mourinho.
Scott McTominay celebrates after Daley Blind's penalty doubled Manchester United's lead
Pamoja na Paul Pogba na Marouane Fellaini nje, alimuona kijana mwenye miaka 20 McTominay ambae ni kiraka kilichoaminika na kijana uyo akuweza kumuangusha boss wake zidi ya Benifica siku ya Jumanne akiwa na heshima ya mchezo kwenye chumba cha engine ya united.Jose Mourinho will be pleased with what he saw from his young midfield player on Tuesday

Hakuna tatizo.. Futi 6 na inch 4 kiungo mkabaji aliweza kufuata vilivo maagizo ya kocha wake. Chagua maamuzi rahisi ukiwa na ⚽️ tembea pembeni, tembea nyuma kama utaweza ogopa kupoteza nafasi.

Kwa maneno mengine waliweza kuelewana vizuri na Nemanja Vidic ambapo Jesse Lingard, Anthony       Martial na Juan Mata walicheza vyema na kijana uyo.The 20-year-old was making only his sixth senior appearance on Tuesday night

McTominay aliweza kupata ⚽️ mara 7 kwenye kipindi cha kwanza kuliko mchezaji mwengine yeyeto, uwezo wake wakuusoma mchezo na kuweza kuvunja muunganiko wa Benifica pale walipokuwa kwenye safari anakuwa katika nafasi sahihi na mda sahihi.McTominay took a blow towards the end of the first-half but managed to continue

Ikumbukwe Darren Fletcher aliweza kuanza kushikilia nafasi yake akiwa pamoja na Ryan Giggs, David Beckham na Rio Ferdinand  na waliishia kikiwa kikosi kikubwa na chenye mafanikio tele.

Mourinho amemsifia sana McTominay pale united ilipowapiga Swansea city 2-0 kwenye kombe la Carabao.

No comments:

Post a Comment

Pages