Mshindi wa kombe la Dunia Mjerumani Thomas Muller alikuwa tayari nje kabla ya kutangazwa kuwa Robert Lewandoski atosafiri na timu kuelekea Glasgow.
Alisema ' Muller na Lewandowski wameumia lakini atukutalajia ila tutapata utatuzi, kunaweza kukawa na uwezekano wa kuchezesha 4-4-2 ila tutafanya huo uamuzi kesho'
'Kila timu inapitia magumu hasa pale inapopata majeruhi timu nyingi kwenye klabu bingwa ulaya inalijua na kupitia hilii lakini sisi tutapata utatuzi'
'Arturo Vidal ni mwepesi na ni mzuri mbele pale nina njia tofauti kwa kesho. Sijawahi kufanya kazi na Wintzheimer, simjui vizuri mimi vizuri kama nilivosema mwanzo tunaweza tukawa na utatuz.
No comments:
Post a Comment