VITU VITANO UNAVOTAKIWA KUVIJUA TOKA KWA LIL PUMP - BZONE

VITU VITANO UNAVOTAKIWA KUVIJUA TOKA KWA LIL PUMP

Share This

  1. Jina lake kamili linajulikana kama GRAZZY GARCIA
  2. Alizaliwa mwaka wa 2000 nakuanza kujiita Lil Pump akiwa na miaka 17 tu.
  3. Alinza fanikiwa akiwa kwenye Sound cloud kwa nyimbo kusikilizwa na watu milioni
  4. Rafiki yake ambae ameshirikiana nae kwenye baadhi ya nyimbo akijulikana kama Smokepurp. Wanapendelea zaidi kucheza mchezo wa ESKETTIT mbali na mziki
  5. Album yake iliweza kushika chat namba mbili kwenye chat za Billboard sasa nazani unamjaua LIL PUMP unataka nani mwemgine tukulete ?

No comments:

Post a Comment

Pages