MARIAH CAREY NDANI YA ROC NATION - BZONE

MARIAH CAREY NDANI YA ROC NATION

Share This
Mariah CareyENTERTAIMENT: Pop diva Mariah Carey amesajiliwa kwenye lebo ya JAY-Z Ya Roc Nation katika harakati za kumrudisha tena kwenye chati za muziki duniani.
Page Six imeripoti kuwa Mariah Carey ameingia mkataba na Roc Nation wasimamia muziki wake baada ya kumfukuza kazi meneja wake Stella Bulochnikov mwanzoni mwa mwezi huu.
Mariah amekuwa akibadilisha timu yake, kuongeza mawkili na watu wanaojua kazi za muziki, meneja wake hakupenda jambo hili.
Hivi karibuni dansa wa Mariah na mchepuko wake Bryan Tanaka alifanya kazi kama meneja wake na kiongozi wa ubunifu wa show za Mariah.

No comments:

Post a Comment

Pages