EVERTON WALIMFUKUZA RONALD KOEMAN MWEZI MMOJA ULIO PITA.. SASA KWANINI WATENGENEZA PIPI BADO HAWAJAPATA KOCHA MPYA HUKU BIG SAM, MARCO SILVA NA RALF RANGNICK WAKITAJWA! - BZONE

EVERTON WALIMFUKUZA RONALD KOEMAN MWEZI MMOJA ULIO PITA.. SASA KWANINI WATENGENEZA PIPI BADO HAWAJAPATA KOCHA MPYA HUKU BIG SAM, MARCO SILVA NA RALF RANGNICK WAKITAJWA!

Share This
Everton have had five games and an international break to recruit a new manager SPORTS: Ni siku 31 zimepita tangia kocha Ronald Koeman alipofungiwa vilago na Everton na uchunguzi ukaanza wa kumpata mbadala wake. Lakini baada ya kucheza michezo mitano na kwenda kwenye mapumziko ya michezo ya kitaifa bado uchunguzi unaendelea na uwoga ukizidi kwa mashabiki wa Everton.

kwanini sasa Everton hawajapata kocha mpya?

swali zuri sana na moja ya swali ambalo linawaendesha sana mashabiki wa Everton kwenye vichwa vyao kwa mda huu haikutarajiwa kama atafukuzwa lakini pale ilipofika tarehe 23 oktoba alifukuzwa, tukawa tunajua kwenye vichwa vyetu kocha mpya atakuja karibuni baada ya mechi za kitaifa lakini ikapotea iyo ndoto kabisa hadi hivi sasa Everton ipo njia panda.
Ronald Koeman was sacked by Everton a month ago and he is yet to be permanently replaced
wameweza kuwapitia washiriki tofauti wa kuwania kinyang'anyio icho lakini umh..!! Farhad Moshiri kati ya watu wanaomiliki hisa nyingi kwenye klabu iyo anaongoza jahazi la kutafuta kocha mpya.

wanamtaka Marco silva. kwanini?

Ebu soma tena ilo swali 'wanamtaka marco silva' ndani ya masaa 24 utambuzi wa kocha huyoo unaweza ukafanywa lakini unaweza ukawa nu uhamuzi ambao haupo ndani ya kichwa cha Moshiri. Silva  aliweza kufanya vizuri akiwa na Hull city na Watford tangia aje kwenye ligi kuu uingereza  miezi 11 iliopita na kwenye orodha ya kutakiwa bado yupo kwenye timu nyingi za mpira.

kwanini hili dili alimalizwi haraka..?

Dili ili aliwezi kukamilika haraka kwasababu chache tofauti kwanza licha ya kupata ahadi ya pauni milioni 10kutoka Everton, Watford walikataa kuweza kufanya mazungumzoo na kocha uyo mfano wasinge weza fanya hivo wangeweza kushuka daraja. kama Watford wakifanikiwa kufanya mazungumzo na silva ataendelea kubaki vicarage na Everton watatoka na kwenda kutafuta kocha mpya.The Toffees did not think they would find themselves in this position after the transfer window

mashabiki wanafikilia nini?


kama tulivosema mwanzo wanachanganyikiwa na hawaelewi. hali iliokuwepo na ukomo wa Koeman na kuondoka kwake kumeleta hali mbaya sana kwa mashabiki. Unaweza ukafafikilia kuwa mkuu wa usajili anaweza akamleta mrithi wa Koeman haraka 

Huu ndio ulitakiwa kuwa msimu wa Everton kwenda kwenye nafasi ya nne  baada ya kutumia pauni milioni 150 lakini ndoto zimezimika ghafla. 

Nini kitatokea kama matokeo yakiendelea kuwa hivi?


kwa mda huu sio rahisi kusema. Ata moshiri angeweka  kikao cha ghafla  hakuna anae jua kama Everton itashuka kwenye orodha ya wale wanaotaka kushuka daraja  kwenye wiki zinazokuja. kwasasa  kinachotakiwa ndani ya klabu ni kupeana ushirikiano toka kwa mashabiki, wachezaji na viongozi wa  timu.

No comments:

Post a Comment

Pages