'ANAJUA TUNAMUAMINI NA TUNAENDA KUJARIBU' GUARDIOLA ASEMA SOKA LAKE LIPO MIKONONI MWAKE MWENYEWE. - BZONE

'ANAJUA TUNAMUAMINI NA TUNAENDA KUJARIBU' GUARDIOLA ASEMA SOKA LAKE LIPO MIKONONI MWAKE MWENYEWE.

Share This
Pep Guardiola gave Phil Foden (left) his senior debut during Tuesday's 1-0 win over FeyenoordSPORTS: Pep Guardiola amempa changamoto Phil Foben kuwa mkubwa ndani ya Manchester city.

Kijana huyoo mweke umri wa miaka 17 aliweza pata nafasi ya kucheza mchezo wake wa kwanza kwenye klabu bingwa ulaya na kuchangia mchango wa ushindi dhidi ya Feyenoord na kuwa mchezaji wa kwanza wa kizazi hiki cha 2000 kuchezea City.

'Phl anajua klabu ipo mbele ya kumsapoti kwa kila jambo na kila kitu juu ya soka lake lakini licha hii soka lake lipo juu yake,' Guardiola alisema.Foden grins as he is brought on for City veteran Yaya Toure, who greets the youngster

'Anatakiwa kuja na na kufanya kazi kila siku na anajua tunamuamini kupita kiasi  na tutaenda kujaribu'

'Leo ilikuwa ni siku muhimu kwa wote kwenye klabu,' Aliongezea Guardiola 'Ningependa kusema Ahsante kwa klabu wote kwa kuzidi kufanya kazi na kuongeza bidiii kila siku hasa kwnye academia yake.

'Kama matokeo yangeku yapo wazi zaidi, angepata dakika nyingine za ziada. vijana hawa wanavipaj sana na ukiangalia kikosi chetu sio kikubwa sana tutaangalia ninin cha kufanya.Foden looked composed as Guardiola called it a 'special day for the club'

 'Nina imani kwamba ata kaa kwenye klabu kwa mda mrefu na kuisaidia klabu kuzidi kukuwa'

No comments:

Post a Comment

Pages