Majogoo walienda 3-0 baada ya kipindi cha kwanza kumalizika walivorudi kuelekea 3-3 kwenye dakika\ tatu za mwisho kuelekea mda wa mwisho.
'Kwanini inaleta mashaka kwenye kikosi cha Liverpool na sio makosa ya mtu mmoja mmoja kila goli lingeweza kulindwa'
'Penati ya Moreno, mpira wa adhabu wa Moreno, kichwa cha Klavan angeweza kuelekea upande mwengine.
siku za nyuma zilizo pita katikati ya wkiendi zilizo pita walikrekebisha kikosi ili kupata matokeo chana.
'Wapo vizuri kwenye mguu wa mbele lakini kwa timu zilizo bora uwezi kuzifananisha na kwa mda mfupi hii timu ya Liverpool hawajui kukaba kabisa'
'wapo vizuri walivocheza kama walivocheza kipindi cha kwanza na pia unatakiwa kurudi nyuma na kukaba na kupunguza kasi ya maadui lakini bado hawajafanikwa bado kufanya hivo.'
Liverpoool bado wataendelea kuwa washindi wa kundi E kama wakiwapiga Spartak Moscow wakiwa nyumbani na kuweza kufika atua ya 16 bora kwa mara ya kwanza baada ya miaka tisa.
No comments:
Post a Comment