'KAMA NIKIPIGIWA SIMU NA REAL MADRID, SITO POKEA!!' NYOTAA WA INTER MILAN AKIONGELEA HUAMISHO WAKE - BZONE

'KAMA NIKIPIGIWA SIMU NA REAL MADRID, SITO POKEA!!' NYOTAA WA INTER MILAN AKIONGELEA HUAMISHO WAKE

Share This
SPORTS: Kama Real Madrid wakimpigia simu mshambuliaji wa Inter Milan kwajili ya maongezi ya uhamisho, ni rahisi atojibu.
iyo ni kulingana na yeye mwenyewe ambae hadi kwa sasa hana magoli 15 kwenye msimu huu.

Aliongea hayo baada ya wiki kadhaa zilizopita baada ya kunyatiwa kwa mda na wa babe wa BERNABEU, mshambuliaji huyoooo mwenye miaka 24 ambae ni muagentina aliweza kuibaliki Inter milani kwa magoli 3-1 dhidi ya Cagliari Jumamosi iliopita.

Aliongea hayo baada ya mchezo huo na kusema "kama nikipokea simu kutoka kwa Real Madrid, sito pokea, nafanya siku zote kile nachotakiwa kufanya kwenye dimba na kuna watu wengine huwa wanajali kile unacho kifanya ndani ya uwanja." 

Hadi kwa sasa mshambuliaji huyoo hana thamani ya pauni milioni 98, aliongezea kwa kusema 'unajua nini nachofikilia. Hakuna kitu chochote cha kusema.'

Kocha wake ambae ni Luciano Spalleti, alisema kwa kujiamini huku akisema nyota huyoo ataendelea kubaki na atoondoka. "Ninafanya kazi naye kila siku na ninapata hamasa kila siku na hanapenda kuwa na timu yake na wachezaji wenzake"

No comments:

Post a Comment

Pages