CHELSEA WAWEKA OFA MEZANI KWA PIERRE-EMIRICK AUBAMEYANG JANUARI HUKU DORTMUND WAKINYOOSHA MIKONO JUU. - BZONE

CHELSEA WAWEKA OFA MEZANI KWA PIERRE-EMIRICK AUBAMEYANG JANUARI HUKU DORTMUND WAKINYOOSHA MIKONO JUU.

Share This
SPORTS: Chelsea wamepata nafasi ya kuweza kumnyakua mshambuliaji wa Borussia Dortmund mwezi wa Januari.
Mchezaji huyoo kutokea Gabon imesemekana kwa sasa hana mahusiano mazuri na klabu yake iyoo kutokea Ujerumani. Aubameyang ameweza kufunga magoli 17 kwenye mechi 19 msimu huu lakini kampeni ya kutoka kwake imeweza kuekwa lehani na Dortmund kunyoosha mikono juu dhidi yake.

Chelsea ni kati ya watu ambaoo wapo kipaumbele na wapo teyari kuingia sokoni na kumnyakua mshambuliaji huyoo pale dirisha la usajili litakapo funguliwa  mwezi wa kwanza.


Antonio Conte kwa karibu sasa anaendelea kuongeza nguvu kwenye kikosi chake ili kuweza kulinyakua kombe la ligi ya uingereza kwa mara nyingine tena, huku ikionekana Manchester City wakiwa kileleni.


Chaguo namba moja la Chelsea kwa mbele Alvaro Morata anamagoli nane mpaka hivi sasa huku akikubali jinsi anavoangaika kuweza kupata magoli mengi zaidi na vile vile anatakiwa kucheza michezo inatokuja katikati ya wiki huku msaidizi wake Michy Batshuayi akiwa nje kwa majeruhi na Morata bado anasumbuliwa na matatizo ya misuli ya paja japo hanacheza.


Aubameyang alitolewa nje kwenye sare ya 4-4 dhidi ya Schalke. Mwishoni mwa wiki. Kwa upande wa timu yake waliweza kupata magolin 4-0 mpaka dakika ya 55 na Aubameyang akiwepo kwenye orodha ya wafungaji baada ya kutoka tuu yeye Schalke waliweza kurudisha magoli yote manne.


Mapema ya mwezi huu aliweza kufungiwa na Dortmund kwa utovu wa nidhamu walipokuwa wakelekea kwenye mchezo wao  dhidi ya Stuttgart ambapo hapo hapo sababu nyingine azikuweza kuelezewa vilivo idadi kubwa ya wachezaji wenzake kwenye timu wamekuwa wakilalamikia jinsi anavokuea haendi na mdaa kama inavotakiwa.


Vile vile klabu yake ilikelwa na kujichukua video bila kibalii toka kwenye timu yake, mwaka uliopita    Alifungiwa kwenye klabu bingwa ulaya mchezo wao dhidi ya Sport Lisbon. Mapema ya mwaka huu Aubameyang alisema alipewa ruksa na klabu yake kwenda Kwenye safari ya Barcelona lakini akachelewa kurudi bila sababu za msingi.

No comments:

Post a Comment

Pages