SPORTS: Senegal wamekata tiketi ya kwenda kombe la dunia na kutoa matumaini ya South Afrika kwa kuwapiga 2-0 kwenye dimba la polokwane.
Mshambuliaji wa West Ham Diafra Sakho aliweza kuipa senegal goli la mapema kwenye kipindi cha kwanza kabla ya goli la kujifunga la Thamsanqa Mkhize wa kikosi cha south Afrika.
South Afrika waalipata ushindi kwenye mzunguko wa kwanza kwa kushinda 2-1 mwezi Novemba 12 mwaka wa jana lakini ilikubalika mechi hiyo kurudiwa baada ya refa Joseph Lamptey kwa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kuongeza mda kiupendeleo,
senegal walijua kabisa ushindi pekee ndom utawapeleka Russia huku south Afrika nao walikuwa wanaitaji ushindi pia dhidi ya simba wa teranga.
mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane pasi yake ya mwisho ambayo alimuweikea sakho na kufungua goli la kwanza ndani ya dakika ya 12 na kuwapa nguvu simba hao.
Bafana Bafana walimiliki mchezo kipindi cha kwanza na walikuwa wanakaribia kurudisha hilo goli pale shuti la Lebogang Manyama lilipo gonga mwamba.
Lakini juhudi za Mane ziliweza kudharisha goli la pili baada ya south Afrika kujifunga.
Home
Unlabelled
DIAFRA SAKHO ATUPIA KAMBANI HUKU WAGENI WAKIFUZU KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA PILI.
DIAFRA SAKHO ATUPIA KAMBANI HUKU WAGENI WAKIFUZU KOMBE LA DUNIA KWA MARA YA PILI.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment