SPORTS: Kwenye mechi isio kuwa na magoli usiku wa jana kwenye dimba la Wembley, mtu mmoja alisimama kwenye umati.
Ruben Loftus-cheek aliweza kusimama katikati ya dimba baada ya kupewa majukumu na kocha wake Gareth Southgate, na hakumuangusha kabisa.
Alitumia mda wake mwingi wa usiku ule kwa kuwamulikia tochi Mesut Ozil lakini unamjuaje kijana huyu wa chelsea ambae yupo kwa mkopo Crystal Palace?
1.NATI KUTOKEA DARAJANI
kuonekana kwake ilikuwa ni juni mwaka wa jana, baada ya miaka 11 alioanza soka Familia yake ipo Swanley, kent.
2.FAMILIA YA SOKA
Kaka yake na Ruben kutokea kwa baba yake alikuwa ni mshambuliaji wa Newcastle united Carl Cort na aliekuwa beki wa zamani wa Crystal palace Leon Cort.
3.KLABU BINGWA ULAYA
Alikuwa ni moja ya waliokuwa kwenye kikosi cha chelsea ambao walikombe la Klabu bingwa ulaya kwa vijana wadogo mwaka 2015 akiwa na Tammy Abraham na Dominic Solanke.
4. KWENYE MECHI SITA AMECHEZA NA MAKOCHA TOFAUTI
Kwenye michezo 29 ameweza kucheza chini ya Jose mourinho, Guus Hiddink, Antonio Conte, Frank De Boer na Roy Hodgson.
5. MSHINDI WA LIGI MARA MBILI PAMOJA NA MEDALI
Mourinho aliomba Loftus cheek apewe medali baada ya kucheza michezo mitatu na Chelsea msimu wa 2014-2015 kabla ajacheza mara sita na kushinda kombe tena.
6. MTUNDU
Gwiji wa ujerumani Michael Ballack kwa ushawishi wake. Alisema: ‘makocha wangu siku zote wamezoea kusema “Angalia mchezo,muangalie Ballack”
7.MPIGAJI MASHUTI KWA HARAKA
Alishinda shuti lake la kwanza ambalo lilo enda langoni moja kwa moja kwa Chelsea dhidi ya Scunthorpe kwenye kombe la FA mwaka 2016
8.MUANZAJI MZURI NA HARAKA SANA
Alicheza mechi yake ya chelsea ya kwanza akiwa ya miaka 18 ambapo alikuwa na miaka 14!
9.SHUJAA WA PALACE.
Mchezaji wa kwanza kuchezea kwenye timu ya uingereza kwenye dimba la Wembley tangia Geoff Thomas Februari 1992.
10. MCHEZAJI BORA WA MICHUANO
Ashawahi kuwa mchezaji bora wa kwenye kombe la Toulon kwenye kikosi cha uingereza chini ya miaka 21 na kushinda kwenye kipenga cha mwisho dhidi ya Ufaransa.
Home
Unlabelled
RUBEN LOFTUS-CHEEK AMETENGENEZA JINA PALE UINGEREZA ILIPO KUTANA NA UJERUMANI
RUBEN LOFTUS-CHEEK AMETENGENEZA JINA PALE UINGEREZA ILIPO KUTANA NA UJERUMANI
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment