DRINKWATER ATAJUTA KUSEMA HAPANA KWA UINGEREZA, NI KOSA KUBWA ALILO FANYA KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA HATA MIMI NAJUA..!! - BZONE

DRINKWATER ATAJUTA KUSEMA HAPANA KWA UINGEREZA, NI KOSA KUBWA ALILO FANYA KWENYE MAISHA YAKE YA SOKA HATA MIMI NAJUA..!!

Share This
Chelsea midfielder Danny Drinkwater has chosen to decline an England call-upSPORTS: Danny Drinkwater amefanya kosa kubwa sana kwenye maisha yake ya soka.
alishawahi muambia Glenn Hoddle kwamba sitaichezea  kwenye England B mwaka 1998 ulikuwa ni uhamuzi uliokuwa sio sahihi na kosa kubwa kutokea. Akiwa na miaka 24, kalia yangu ya timu ya taifa uliishia apo.

sasa, Drinkwater nafasi yake ya kucheza kombe la dunia haiwezi tokea na kuwa kocha wa mbeleni wa kikosi cha uingereza kamwe.

Vitendo vya rena moja kwa moja, inaweza isilete maana kwa Drinkwater kujiunga na Englannd, alipewa mchezo mdogo tuu kwenye kikosi cha Chelsea, michezo hii  ndio ingekuwa nafasi tosha kwake yeye kupata dakika kadhaa kwenye kibindo chake.

Kwenye kikosi cha chelsea kwenye sehemun ya kiungo ambapo kuna ushindani mkubwa sana kwa sasa, yeye kacheza michezo michache lakini bora sana kushinda hao wengine.Drinkwater in action  during Chelsea's victory over Manchester United on Sunday
kwa sasa conte anaweza akatoa uhamuzi kwa mechi 23 au makombe ya ligi.
usije ukaja kumchukulia Drinkwater kama Frank lampard au Steven Gerrad pale unapo kuja kwenye hatua ya kwenye timu ya uingereza. Bado hawajazalisha viungo bora kwa sasa tangia magwiji hao waondoke,

Chelsea walimsajili Drinkwater kwa sababu mahalumu. Alicheza kwenye nafasi ya katikati kwenye kikosi cha Leceister city pale walipokuwa wanachukua kombe la ligi msimu wa juzi kwahiyoo kukosekana kwake hasa pale wanapoelekea kwenye kombe lqa dunia.

Hakuna aliekuwa na nguvu kama Harry Winks kwenye sehemu ya kombe la dunia kabla ya Southgate ajapewa kikosi mwezi uliopita dhidi ya Lithuania.

Tangia alivo tuonesha mchezo mzuri, Winks alifanikiwa pale Tottenham walipocheza na Real Madrid na Liverpool, kwasasa ndio mchezaji mdogo anaeongelewa na anaonekana yupo safarini kuelekea Russia.

siku za husoni hapa karibuni uingereza imepitia makocha tofauti tofauti na wote walikuwa wakimtolea macho Drinkwater,

sitaki kuamini kama Drinkwater atocheza kombe la dunia, na hio sio ndoto kwa mchezaji yeyote..!

kama ningeweza kurudisha saa nyuma, ningereact tofauti , Huu ni uhamuzi Drinkwater hatakuja kujutia miaka ijayoo.

No comments:

Post a Comment

Pages