SPORTS: Huku Angelo Ogbonna akishinda goli la ushindi, kwa upana aliweza kusimamisha hisia za watu na kusahau kama ilikuwa ni kombe la Carabao, lakini mara nyingi siku zote goli la ushindi ni muhimu kuliko kitu chochote linapokuwa linasoma kwenye ubao.
Na nani hanajua kwamba hii ni muhimu na kuweza kumbadilisha slaven Bilic? katika mda wa mapumziko, alionekana kuwa na uso wa kupokea kichapo na kuinama kanama kwake kama kawaida. Kocha wa West Ham alionekana akiwa hivi mara nyingi katika kipindi kifupi lakini jana katika dimba la wembley alionekana akiwa tofauti.
Timu yake ilimsaliti pale walipo pokea kichapo cha 3-0 wakiwa nyumba kutoka kwa Brighton katika ligi kuu uingereza Ijumaa iliopita lakini kwa hapa wembley walimsaliti katika kipindi cha kwanza.
Kipindi cha dakika 45 za mwanzo West ham walionekana ni watu au timu isiyokuwa na maana, timu isiyokuwa na maamuzi sahihi na timu isiyo kuwa na mbinu za kimchezo.
wachezaji wa Bilic walionesha udhaifu wao mkubwa sana katika kipindi cha kwanza na kufanikisha kupigwa magoli mawili, Bilic alikuwa anakaribia kutimuliwa, ndio ilikuwa lazima atokee, hii ni baada ya jina lake kuwa linatajwa sana baada ya majina kama Frank de Boer, Craig Shakespeare na Ronald Koeman kufukuzwa .
Lakini mchezo huu ulibaadilisha muonekano kabisa wa mpira upo vipi. kulikuwa hakuna sababu ya msingi matokeo kama haya kutokea, Bilic hakufanya mabadiliko yoyote ya kwake binafsi na kulikuwa hakuna kituchochote cha kiufundi au formation ilio fanya kikosi kuonekana kimebadilika.
Lakini mchezo ukabadilika ilikuwa ni kujitolea kwa wachezaji na kupambana na hii ndio kazi ya mchezo ulivyo
Home
Unlabelled
WAMERUDI TENA KWENYE MSIMU AU? WAPIGANA WAKITOKEA NYUMA YA SPURS KWA 2-0 NA KUPELEKEA KUPATA USHINDI WA 2-3 NA KUWATOA WAKIWA WEMBLEY.
WAMERUDI TENA KWENYE MSIMU AU? WAPIGANA WAKITOKEA NYUMA YA SPURS KWA 2-0 NA KUPELEKEA KUPATA USHINDI WA 2-3 NA KUWATOA WAKIWA WEMBLEY.
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment