UNAAMINI HUYU NDIO SHUJAA MPYA WA ASERNAL, NKETIAH 18 AMEWEZA KUMUWEKEA.WENGER MAWILI NAKUWATOA NORWICH...! - BZONE

UNAAMINI HUYU NDIO SHUJAA MPYA WA ASERNAL, NKETIAH 18 AMEWEZA KUMUWEKEA.WENGER MAWILI NAKUWATOA NORWICH...!

Share This
Nketiah does his best impression of Kylian Mbappe's goal celebration, but can he emulate him?
SPORTS: Kama huamini basi hii inaweza ikabadilisha mawazo yako. Katika filimbi ya mwisho mashabiki wa Asernal walikua wakipiga kelele Eddie, Eddie, Eddie.
Eddie Nketiah scored twice for Arsenal to inspire a Carabao Cup comeback against Norwich

Kwasasa utakuwa unajiuliza Eddie ndo nani? Eddie Nketiah ambae ndio tumaini  lenye miaka 18 ambae ameanza kutimiza uwajibu wake.
The No 62 scored with his very first touch of the game before netting a header in extra time

Na kama atoweza kutimiza usiku wa jana alikua shujaa wa wanamitutu katika dimba la Emirates, ni mchezo wake wa pili, kijana huyo mwenye miujiza aliweza kusawazisha na mpira wake wa kwanza mguuni akiingia dakika ya 85, Nketiah ambae ni kijana wa Asernal mshindaji ambae amezaliwa  mwaka baada ya Arene wenger kuichukua Asernal 1996 aliweza kuweka alama ya ushindi kwenye mda wa nyongeza.Nketiah celebrates with Alex Iwobi, Aaron Ramsey and Chuba Akpom after scoring his second


Anajaribu kuonesha kwamba yeye anauwezo, na tukaona kama yeye hanauwezo hasa pale timu yako inapokuitaji anakufikishia. Hebu tusimuongeleee ubora wake kwa sasa ngoja tuone.

No comments:

Post a Comment

Pages