RONALDO MCHEZAJI BORA WA FIFA, AWAMWAGA MESSI NA NEYMAR - BZONE

RONALDO MCHEZAJI BORA WA FIFA, AWAMWAGA MESSI NA NEYMAR

Share This
SPORTS: Usiku wa jana Jumatatu aliweza kutetea taji lake la mchezaji bora wa kiume Fifa kwa kuwapiga Lionel Messi na Neymar.The forward holds his trophy alongside Real Madrid manager Zinedine Zidane, who was named coach of the year in London

Nyota Real Madrid alichukua tuzo hiyo mbeole ya washindani wake kutokea Fc Barcelona na Paris saint Germain nyuma ya ushindi wa kombe la La liga na klabu bingwa ulaya msimu uliopita.The Portuguese forward has enjoyed another remarkable year, helping Real Madrid win La Liga and the Champions League

Ronaldo ameshinda magoli 44 kwa klabu yake na taifa lake pia 2017 na ameshinda mara mbili kombe la klabu bingwa ulaya huku Real madrid wakivunja rekodi ya kubeba kombe ilo mara  12.Ronaldo shakes hands with rival Messi while the Madrid man's son watches on ahead of the awards ceremony

Baada ya kupokea tuzo Ronaldo alifunguka kwa kusema: "Ahsante sana wote kwa kunipigia kula " aliendelea kwa kusema "ningependa kujua uwepo wa lionel Messi na Neymar, pia kuwashukuru mashabiki wote wa Real Madrid, wachezaji wenzangu, kocha na raisi wa timu yangu napenda kusema tena ahsante." Neymar, the final man up for the player of the year crown, donned a claret jacket at the high-profile event in the English capital

Messi amepata magoli 50 akiwa na Barca na timu yake ya taifa Argentina ambapo Neymar ambaye ndiye mchezaji ghali kwasasa alietoka Barcelona kuelekea PSG kwa gharama ya pauni milioni 198 akiwa na magoli 25  na taifa lake.

No comments:

Post a Comment

Pages