"WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAPO KWENYE JARIBIO GUMU KATIKA DIMBA LA ANFIELD, LAKINI LIVERPOOL KATIKA MATUMIZI YA ENEO LAO LA ULINZI HAWAPO VIZURI KITU KINACHOONESHA HAWAPO VIZURI" ALISEMA PHIL NEVILLE. - BZONE

"WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED WAPO KWENYE JARIBIO GUMU KATIKA DIMBA LA ANFIELD, LAKINI LIVERPOOL KATIKA MATUMIZI YA ENEO LAO LA ULINZI HAWAPO VIZURI KITU KINACHOONESHA HAWAPO VIZURI" ALISEMA PHIL NEVILLE.

Share This
SPORTS: Wachezaji wa Manchester watakutana na kibarua kizito sana kwa kukutana na Liverpool, kutoka kwa aliekuwa mlinzi mpole wa Mashetani wekundu Phil Neville.

United wamesafiri kuelekea Anfield kuwakabili Majogoo katika siku ya Jumamosi mchana kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza, huku wakijua ushindi wa point kumi utawaweka kileleni bila wasi wasiPlaying in the hostile Merseyside atmosphere is the acid test for United stars, said Phil Neville

Kucheza kwa uadui kwenye hali ya hewa iliopo Merseyside ni kemikali ambayo itakuwa ni kipimo tosha kwa mastaa wa united. Alisema  nevvile na ambae akasema anawataka waoneshe watakuwa katika mstari wa mbele kwa wanaowania kombe kwa mtindo wanaocheza na kwenye matokeo yao...
Neville feels a good performance from Romelu Lukaku is necessary  to silence the doubters

Akiongea na kituo cha skysports  Neville aliendelea kusema  "mwaka wa jana Jose mourinho  matarajio yake yalikuwa ni kuchukua kombe la ligi ila kwa mwaka huu mashabiki wanaleta shinikizo zaidi wanataka waongelewe kama watu wanaowania kombe la ligi."

"Jumamosi itatupa kipimo tosha kutoka kwa mashetani, mwaka jana hwakuzipiga timu kubwa, jumamosi nataka kuona mtindo watakao cheza alafu baada ya mchezo ndio tutajua kuwa ni wanao wania ubingwa au laah..!!

No comments:

Post a Comment

Pages