GET TO KNOW, UTAJIRI WAKE NI ZAIDI YA DOLA 3.1 LAKINI HAJAWAHI INGIA BENKI KWA MIAKA 30 - BZONE

GET TO KNOW, UTAJIRI WAKE NI ZAIDI YA DOLA 3.1 LAKINI HAJAWAHI INGIA BENKI KWA MIAKA 30

Share This
Photo published for Oprah Winfrey visited a bank for the first time since 1988 to deposit $2 millionLIFESTYLE: Mtangazaji maarufu mwenye ushawishi mkubwa duniani Oprah Winfrey,63, amesema anamiaka 30 toka akanyage Katika benki yoyote.
Oprah kasema hii kauli akiwa na mtangazaji Ellen De Generes, amekiri kuwa hivi karibuni alienda benki kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kuweka cheki ya dola milioni 2 za Kimarekani [Zaidi ya bilioni 2 za Tz], mara yake ya mwisho kuingia benki ilikuwa mwaka 1988.
Oprah Winfrey anatajwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 3.1, anasema alifika benki na kupanga foleni kama watu wengine tu ili kuweka pesa zake.

No comments:

Post a Comment

Pages