SPORTS: Kwenye kuwania kombe la Dunia 2018 imeonekana ikileta furaha na hamu ya kutosha, Lakini sasa ni mda wa kurudi kwenye mkate na siagi ya ligi kuu uingereza.
wikiendi inaanza na mlipuko kwa Liverpool wakiwaalika Manchester United siku ya jumamosi mchana na kuna sababu nyingine za kusisimua na kuwafanya mashabiki kuwa na hamu katika michezo 10.
Hivi ni vitu kumi tumekuwekea kuelekea michezo ya ligi ikuu uingereza
Ufumbuzi wa Klopp;
Katika mapumziko ya mechi za kimataifa imekua fursa kwa Klopp kuweza kufumbua suluisho la matatizo yake katika eneo la ulinzi kuelekea kurudi zidi ya mchezo wao na Manchester united. Hawajaweza kutoa mikwaju iliokuwa ikielekea langoni kwao katika michezo saba ya mashindano yote na magoli 12 ya ligi kuu huku Klopp hakitakiwa kupambana kuweza kuvuka nafasi ya 6.
Lukaku kuvunja Rekodi.
Romelu Lukaku anategemewa kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 8 kwenye michezo nane ya kwanza kwenye ligi kuu akiwa na klabu yake mpya. Amekuwa wa kipekee katika kikosi cha United na amekuwa yupo fiti alivyoichezea Belgium na cyprus ukiachilia mbali kuwa na majeruhi ya enKa
Ronald kwenye mbio za kutimuliwa.
Koeman yupo mbioni kutimuliwa na Everton baada ya mwanzo mbaya kwenye msimu huu. Historia yake kwa wiki hii ukiachilia mbali na Everton kucheza na Brighton ambao ni ving'ang'anizi, wamepoteza michezo yao kadhaa ya ligi kuu.
Je spurs watapata ushindi wao wa nyumbani kwa nara ya kwanza wakiwa Wembley?
Wanakutana na Bournemouth na wanatakiwa kushinda. Wanatakiwa kupambana kwa upande wao huku Bournemouth wakiambulia alama nne msimu tangia uanze.
Uhokozi wa Zaha..
Crystal Palace ukiachilia mbali kupoteza kwao kwa michezo saba na hawana magoli walioshinda
Mchezo wao wiki hii wanakutana na vigogo wa darajani Chelsea lakin kuna shahada ya uokozi toka kwa Wilfried Zaha yupo fiti vya kutosha tangia msimu uanze.
Nani anaweza kuwazuia Burnley?
Wameweza kuwachapa Chelsea na kuwazamisha Spurs na liverpool na kama wakiwapiga West ham wanaweza wakasogea hadi nafasi ya tatu uku wakitegemea matokeo mengine. Dyche amekuwa ni kocha mwenye mipango mikali msimu huu.
Tegemea kuhudumiwa pale ufikapo Etihad!!
Manchester city wameshinda michezo yao miwili iliopita nyumbani na rekodi tatu ya ushindi kwenye michezo ya nyumbani kwa magoli matano au zaidi ambapo Chelsea mwaka 2010 chini ya kocha Ancelotti , City anacheza na Stoke.
Jee Renato Sanchez atakuwa mzuri Swansea?
Matarajio makubwa sana toka kwa mashabiki. Paul clement bado ajapata mbinu nzuri itakayomfaha Sanches na mchezaji mwenyewe amekuwa katika kiwango kibovu mbali na juhudi binafsi. Siku za mapema anatakiwa kufanya chaguzi kwake binafsi ambapo Swansea wanaharaka isiyokuwa na kifani. Wanakutana na Huddersfield kwa mara ya kwanza.
Jee Wilshere upamabanaji wake utaendelea?
Jee atapa kuanza mchezo wake wa kwanza? Ameweza kufanya vizuri na Doncaster kwenye kombe la Carabao na Bate Borisov kwenye Europa League lakini anatakiwa kujitahidi ili kurudi kwenye kiwango chake cha zamani.
Viatu vya pink
Ni mwezi wa salatani ya maziwa. Ambapo wachezaji wanaweza wakavaa viatu vya pink ili kuonesha kwamba nao wanaunga mkono kampeni iyo. Usiache kumuangalia Granit Xhaka.
Home
Unlabelled
LIGI KUU YA UINGEREZA INARUDI, VITU 10 VYA KUANGALIA BAADA YA MECHI ZA KIMATAIFA
LIGI KUU YA UINGEREZA INARUDI, VITU 10 VYA KUANGALIA BAADA YA MECHI ZA KIMATAIFA
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment